News and Events Change View → Listing

Mabalozi wa nchi za SADC New Delhi waendelea kupaza sauti kupinga vikwazo dhidi ya Zimbabwe, 02 Novemba 2019

New Delhi, 02 Novemba 2019 Tarehe 02 Novemba 2019 Mabalozi wa Nchi za SADC waliopo New Delhi walikutana katika hafla ya Siku ya SADC [SADC Day]. Hafla hiyo ilifanyika nyumbani kwa Balozi wa Tanzania nchini…

Read More

Tanzania yashiriki Mkutano Mkuu wa 2 wa Taasisi ya Kimataifa ya Nishati ya Jua (2nd Assembly of the International Solar Alliance-ISA), New Delhi, India, 30 -31 Oktoba 2019

  New Delhi, 31 Oktaba 2019 Tanzania imeshiriki pamoja na nchi nyingine zipatazo 80 katika Mkutano Mkuu wa 2 wa Taasisi ya Kimataifa ya Nishati ya Jua (ISA) uliofanyika mjini New Delhi tarehe …

Read More

HON. BASHUNGWA, MINISTER OF INDUSTRY AND TRADE ATTENDS CII-EXIM BANK REGIONAL CONCLAVE ON INDIA-SADC PROJECT PARTNERSHIP IN LUSAKA, ZAMBIA

THE CONFERENCE: CII- Exim Bank Regional Conclave on India – Southern Africa [SADC] Project Partnership in Lusaka, Zambia 14-15 October 2019 The Confederation of Indian Industry [CII] organized the…

Read More
Mhe. Balozi Luvanda akisisitiza jambo kwenye kikao hicho

Ubalozi wa Tanzania New Delhi waanza kusimamia Mikutano ya Kundi la Mabalozi wa Nchi za SADC nchini India

Tarehe 24 Septemba, 2019 Ubalozi wa Tanzania, New Delhi uliendesha Kikao cha Kwanza cha Mabalozi wa nchi za Jumuiya ya Ushirikiano wa Maendeleo ya Nchi za Kusini Mwa Afrika [SADC] chini ya Uenyekiti wa Balozi…

Read More

Mhe. Balozi Luvanda ashiriki Kongamano la kuvutia Biashara, Uwekezaji na Utalii Jijini Chennai tarehe 5 Septemba, 21019

Balozi wa Tanzania nchini India, Mhe. Baraka Luvanda akihutubia wakati wa Kongamano la kuvutia Biashara, Uwekezaji na Utalii lilifanyika katika hoteli ya Westin Jijini Chennai katika Jimbo la Tamil Nadu tarehe…

Read More

Warm Welcome of Inaugural Flight of Air Tanzania at Chhatrapati Shivaji International Airport Mumbai on July 18, 2019

Chhatrapati Shivaji International Airport [CSMIA], Mumbai July 18, 2019.   On July 18, 2019, Air Tanzania launched its first nonstop flights to Mumbai from Dar es Salaam’s J. K. Nyerere…

Read More

Ambassador Luvanda’s Remarks at Air Tanzania Flight Inaugural Dinner Gala, Trident Hotel, Bandra Kurla, Mumbai

Trident Hotel, Bandra Kurla, Mumbai July 18, 2019   It gives me genuine and great pleasure to finally be here on this historic occasion and to propose these welcoming remarks.   Allow me at the…

Read More