Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso ashiriki katika Kongamano la 17 la Biashara na Uwekezaji Kati ya India na Afrika, Tarehe 19-20 Julai 2022, Jijini New Delhi
New Delhi-Julai 20, 2022-Ubalozi wa Tanzania, New Delhi umeratibu na kushiriki kikamilifu katika Kongamano la Kimataifa la kibisahara na Uwekezaji kati ya India na Afrika “17th CII EXIM Bank Digital Conclave on India-Africa… Read More