HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA MWAKA WA FEDHA 2021/2022
Mheshimiwa Balozi Liberata Rutageruka MulaMula (Mb), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki leo amewasilisha Bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara kwa Mwaka wa Fedha 2021/2022.
Read More





