WAZIRI NA NAIBU WAZIRI WATEULE WAAPA KUWA WABUNGE WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Waziri Mteule wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberatha Mulamula akiapa kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.




