Balozi Anisa Mbenga awasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa India tarehe 16 Februari 2022
New Delhi, Februari 16, 2022-Balozi wa Tanzania nchini India, Mhe. Anisa K. Mbega amewasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa India Mhe. Ram Nath Kovind, Ikulu (Rashtrapati Bhavan), mjini New Delhi…
Read More