ZIARA YA MAKAMU WA RAIS DK. MPANGO SINGAPORE: AKUTANA NA RAIS WA ARMENIA NA MUAZILISHI WA JUKWAA LA KIUCHUMI LA BLOOMBERG,TAREHE 17 NOVEMBA 2021
Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango akizungmza na Rais wa Armenia Mhe. Dkt. Armen Sarkissian walipokutana kabla ya kuanza kwa Jukwaa la Nne Majadiliano ya Kiuchumi la Bloomberg linalofanyika katika Hoteli ya Cappella Kisiwa cha Santosa Nchini Singapore, Novemba 17, 2021.
