News and Resources Change View → Listing

Watanzania 249 waliokwama nchini India warudishwa nyumbani tarehe 15 Juni 2020

Ubalozi wa Tanzania nchini India, kwa kushirikiana na @AirTanzania pamoja na Diaspora wa Tanzania nchini India kwa mara nyingine tena leo, wamefanikisha safari ya 3 ya kuwarejesha nchini Watanzania 249…

Read More

Waziri Makuu Modi ampigia simu Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli, tarehe 12 Juni 2020

New Delhi, Juni 12, 2020 - Waziri Mkuu wa India, Mhe. Narendra Modi tarehe 12  Juni, 2020 amempigia simu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt John Pombe Magufuli ambapo, viongozi hao…

Read More

WASILISHO LA BALOZI BARAKA LUVANDA KATIKA MKUTANO WA BODI YA UTALII TANZANIA (TTB) NA MABALOZI KUTOKA KWENYE KANDA YA ASIA NA AUSTRALASIA TAREHE 09 JUNI 2020

New Delhi, Juni 09, 2020 - Awali ya yote nachukua nafasi hii kumshukuru Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema kwa kutukutanisha sote leo hii kwa njia hii ya mtandao. Pili, naomba niwashukuru Bodi ya Utalli kwa wazo…

Read More

Watanzania 192 waliokwama nchini India kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa COVID-19 warejeshwa Tanzania, 30 Mei 2020

Mumbai, Mei 30, 2020 - Ubalozi wa Tanzania nchini India, kwa kushirikiana na Shirika la Ndege la Tanzania [ATCL] pamoja na Diaspora wa Tanzania nchini India kwa mara nyingine wamefanikisha safari ya pili ya…

Read More