Ubalozi wa Tanzania nchini India, kwa kushirikiana na @AirTanzania pamoja na Diaspora wa Tanzania nchini India kwa mara nyingine tena leo, wamefanikisha safari ya 3 ya kuwarejesha nchini Watanzania 249 waliokuwa wamekwama katika miji mbalimbali nchini India kutokana na #COVID19 pic.twitter.com/AOMfINreUF
— Tanzania in India (@TanzaniainIndia) June 15, 2020