Ubalozi wa Tanzania nchini India kwa mara ya kwanza umepokea meli ya kwanza iliyobeba Kontena la Parachichi kutoka Tanzania
Mumbai, Mei 04, 2022 - Ubalozi wa Tanzania nchini India kwa mara ya kwanza umepokea meli ya kwanza iliyobeba Kontena la Parachichi kutoka Tanzania. Kontena hilo liliwasili katika Bandari ya Jawalar Nehru…
Read More