News and Events Change View → Listing

Ubalozi wa Tanzania nchini India kwa mara ya kwanza umepokea meli ya kwanza iliyobeba Kontena la Parachichi kutoka Tanzania

Mumbai, Mei 04, 2022 - Ubalozi wa Tanzania nchini India kwa mara ya kwanza umepokea meli ya kwanza iliyobeba Kontena la Parachichi kutoka Tanzania. Kontena hilo liliwasili katika Bandari ya Jawalar Nehru…

Read More

KONGAMANO LA BIASHARA NA UWEKEZAJI KATI YA TANZANIA NA INDIA, JIJINI CHENNAI TAREHE 11-12 APRILI, 2022

Chennai, Aprili 12, 2022 - Ubalozi wa Tanzania nchini India kwa kushirikiana na Taasisi ya Uchumi na Biashara ya India (Indian Economic Trade Organization) umeratibu na kufanikisha kufanyika kwa kongamano…

Read More

BALOZI ANISA MBEGA APOKEA UJUMBE WA KIKUNDI CHA NGOMA ZA ASILI CHA NYATI MCHOYA UBALOZINI TAREHE 28 MACHI 2022

New Delhi, Machi 28, 2022- Balozi wa Tanzania nchini India, Mhe. Balozi Anisa Mbega ameupokea Ubalozini Ujumbe wa kikundi cha ngoma za asili cha Nyati Mchoya kutoka katika Kijiji cha Nzali, Chamwino, jijini…

Read More

Balozi Anisa K. Mbega amemtembelea na kumjulia hali mwanafuzi, Bi. Janeth Sitta Tungu mjini Rajkot tarehe 20 Machi 2022

Rajkot, Machi 20, 2022-Balozi wa Tanzania nchini India, Mhe. Anisa K. Mbega amemtembelea na kumjulia hali mwanafuzi, Bi. Janeth Sitta Tungu aliyelazwa katika hospitali ya Gokul iliyoko mjini Rajkot katika…

Read More

TANGAZO: UTARATIBU WA KUPATA VITAMBULISHO VYA TAIFA KWA DIASPORA

Ubalozi umepokea taarifa toka Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kuhusu utaratibu ambao Diaspora wanaweza kutumia kufanya usajili wa vitambulisho vya Taifa. Mamlaka imemteua Bi. Lilian Kowelo, kuwa…

Read More

Balozi Anisa Mbenga awasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa India tarehe 16 Februari 2022

New Delhi, Februari 16, 2022-Balozi wa Tanzania nchini India, Mhe. Anisa K. Mbega amewasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa India Mhe. Ram Nath Kovind, Ikulu (Rashtrapati Bhavan), mjini New Delhi…

Read More

Ubalozi wa Tanzania, New Delhi washerehekea Kilele cha Maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania

Tarehe 09 Disemba 2021 Ubalozi wa Tanzania, New Delhi ulisherehekea kilele cha Maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania katika Hafla iliyofanyika katika Hoteli ya Taj Mahal, jijini New Delhi. Mabalozi wa…

Read More