Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa Taifa ( National Social Security Fund) umetangaza kuanza kazi rasmi kwa Mpango wa Ustawi wa Tanzania waishio ughaibuni (Welfare Scheme for Tanzanians in the Diaspora – WESTADI) ambao ulizinduliwa Septemba mwaka 2011 huko Dulles Virginia na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete alipotembelea Marekani.
Kwa taarifa zaidi fungua kiungo hiki: National Social Security Fund