• Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Ramadhani Mwinyi [wa pili kulia] akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa Ubalozi wa Tanzania, New Delhi. Naibu Katibu Mkuu alitembelea ofisi za Ubalozi na kupata nafasi ya kuzungumza na Maafisa hao tarehe 06 Disemba 2019.