CHUO CHA ULINZI CHA TAIFA (NDC) WAFANYA ZIARA YA MAFUNZO NCHINI INDIA, 10-15 JUNI, 2019
Balozi Baraka H. Luvanda akiwa katika picha ya pamoja na kundi la Washiriki wa Mafunzo ya mwaka 2018/2019 katika Chuo cha Mafunzo ya Ulinzi cha Taifa (NDC) kilichopo Kunduchi ambao wapo nchini India kwa ziara ya mafunzo ya siku 5 iliyoanza leo tarehe 10 Juni, 2019.
Ujumbe huo unaongozwa na Brig. Jenerali Chestino Elias Msola na Comodore Michael Mwandanje Mumanga.








