Balozi Luvanda akimuelezea jambo Balozi Mteule wa India, Tanzania Mhe. Sanjiv Kohli alipomtembelea katika ofisi za Ubalozi jijini New Delhi Julai 02, 2019
Balozi Luvanda akimsikiliza Balozi Mteule wa India, Tanzania, Mhe. Sanjiv Kohli wakati wa mazungumzo hayo. Afisa Ubalozi [kulia], Dkt. Kheri Goloka akifuatilia mazungumzo hayo.
Balozi Luvanda na Balozi Mteule wa India, Tanzania, Mhe. Sanjiv Kohli [katikati] wakiwa katika picha ya pamoja. Kushoto ni Afisa Ubalozi, Dkt. Kheri Goloka.
Balozi Luvanda akutana kwa mazungumzo na Balozi Mteule wa India nchini Tanzania Mhe. Sanjiv Kohli
