• Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango akisalimiana na Mwanzilishi na Muandaaji wa Jukwaa la Nne la Majadiliano ya Kiuchumi la Bloomberg, Bwana Micheal Bloomberg, linalofanyika Nchini Singapore, walipokutana muda mfupi kabla ya kuanza kwa mkutano huo, Novemba 17, 2021