Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa Taifa ( National Social Security Fund) umetangaza kuanza kazi rasmi kwa Mpango wa Ustawi wa Tanzania waishio ughaibuni (Welfare Scheme for Tanzanians in the Diaspora – WESTADI)   ambao ulizinduliwa Septemba mwaka 2011 huko  Dulles Virginia  na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete alipotembelea Marekani.

Kwa taarifa zaidi fungua kiungo hiki: National Social Security Fund