• Naibu Waziri Mteule wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk akiapa kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.