Taarifa ya Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa [NIDA] kuhusu usajili wa Tanzania waishio nje ya nchi [DIASPORA].

Mamlaka imemteua Bi. Rose Mdami [Mob. No: +255-713-412871] kuwa Afisa Dawati atakayeshughulikia masuala ya Diaspora ndani ya Malaka ya NIDA.

Dawati hili litatoa huduma kwa haraka [Fast Track] kwa DIASPORA katika Jengo la Magereza lililopo katika Barabara ya Kivukoni Mjini Dar es Salaam.

Kwa maelezo zaidi wasiliana na Bi. Mdami [Mob. No: +255-713-412871].

For more information, click on the link, Taarifa ya Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa