Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati ametembelea Ubalozi wa Tanzania, New Delhi. Mhe. Biteko yuko nchini India kushiriki kwenye Mkutano wa Nishati (3rd India Energy Week), 11-14 February 2025.