Ubalozi unawatakia Watanzania wote Kheri ya Sikukuu ya Eid El - Fitri baada ya kukamilisha mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, wakati tunasherehekea Sikukuu hii tunawakumbusha kuhakikish kuwa mnazingatia maelekezo ya Wataalamu wa Afya kuhusu kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19.