Benki ya Amana imeatangaza kuazisha Akaunti maalum kwa ajili ya DIASPORA ijulikanayo kama Kilimanjaro Diaspora Account.

Diaspora watatakiwa ku-download Fomu kupitia Mtandao wa Benki hiyo http://www.amanabank.co.tz/kilimanjaro-diasporaacount/ kuzijaza na baadae kuzituma [DHL, FedEX, EMS] kwenda kwenye Benki hiyo Tanzania.

Kwa maelezo zaidi wasiliana na Maafisa wafuatao wa Benki hiyo:

1. Bw. Dassu Musa, Meneja Masoko: Landline : +255-22-2129007 [Mob. +255-786-687832]

2. Bw. Muhsin Muhammed, Mkuu wa Kitengo cha Uzalishaji na Sheria: Landline: +255-22-2129007 [Mob. +255-653-283636].

For more information, click on the link, AKAUNTI YA KILIMANJARO